#Habari:Zaidi ya walimu 100 wa Sekondari waliohamishiwa kufundisha shule za msingi wamekusanyika ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wakilalamikia mwajiri wao kuwahamisha bila kuwalipa stahiki zao zaidi ya shilingi million 300 za uhamisho. https://t.co/2NLnC6qfGR
Hakuna maoni: