Header Ads

Breaking News
recent

Hizi hapa nauli za sehemu mbali mbali ndani ya Tanzania

Nimeona nilete Mnakasha sina uhakika kama umewai letwa,nataka kupunguza usumbufu Ubungo ili unapoenda kukata tiketi angalau upate Fununu kuhusu Gari(mabasi mwenyeji) ya njia anayoenda,nitaweka viwango vya nauli ninavyo vijua kwa sasa unarusiwa kurekebisha 

*kutoka UBT kwenda mikoa yote;

1,Dar to Mtwara via Lindi:mabasi ni;WIFI,BUTI LA ZUNGU,NAJMA,MAHUTA,AMANJU,MACHINGA,SOUTHERN,SAIBABA,WAHIDAS-nauli Tsh 22000
2.Dar to Moro:mabasi ni ABOOD,HOOD,GOMBE-nauli tsh 6000
3.Dar to Iringa:mabasi ni ABOOD,HOOD,UPENDO,DELUXE-nauli tsh 25000
4.Dar to Mbeya:mabasi ni MBEYA Exp,ABOOD,HOOD,SUMRY,HAPPY NATION,-nauli tsh 35000
5.Dar to Rukwaa;Mabasi ni Sumry-nauli tsh 55000
6.Dar to Songea:mabasi ni new force,iliyana,,superfeo,serious, tsh 48000
7.Dar to Tanga:mabasi ni RATCO,BEMBEA,RAHALEO-nauli tsh 16000
8.Dar to Arusha via Moshi:mabasi ni DAR EXP,KILIMANJARO,KATKO,NGORIKA,MTEI,OSAKA,SUPA SAMI-nauli tsh 30000
9.Dar to Dodoma:mabasi ni SHABIBY,KIMBINYIKO,CHAMPION,ALSAEDY,-nauli ni Tsh 20000
10.Dar to Tabora via Singida:mabasi NBS,ABC,MOHAMED TRANS-nauli tsh 30000
11.Dar to Kahama:mabasi ni Mohamedi Trans,ALLYS,Mombasa Raha,Najimunisa,Osaka,Falcon,Adventure-nauli tsh 40000
12.Dar to Kigoma:mabasi ni Adventure,Sumry,Osaka-nauli ni tsh 59000
13.Dar to Bukoba:mabasi ni Sumry,Najimunisa,Osaka,Mohamedi Trans,-nauli tsh 60000
14.Dar to Mwanza via Shinyanga:mabasi ni kisbo safari,Zuberi,Mohamedi,kisesa ,supersami,kibo,darlux. Etc nauli ni tsh 45000 
15.Dar to Musoma:Musoma Exp,Bunda kidia one,Mohamedi,kichuya -nauli tsh 50000-55000-60000


*karibuni kwa marekebisho,sio kejeli hili kuwasaidia wanasafiri sana,naomba wale wa mikoani nao watuletee mfano kutoka Arusha to Kahama,Arusha to Mwanza,Dodoma to mbeya,Mwanza to kigoma,baadhi ya mikoa naweka kumbukumbu sawa,mfano 
Mwanza to Kigoma:mabasi ni Saratoga,mchina-nauli tsh 25000
"Vox popoli vox dei"

Maoni 56 :

  1. Toa maoni yako unahitaji nauli za wapi mpka wapi tutajibu

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mwl Fidelis Mohammed
      Nauli ya kutoka Dodoma to Njombe inakuaje

      Futa
    2. Mwl Fidelis Mohammed
      Nauli ya kutoka Dodoma to Njombe inakuaje

      Futa
    3. Nataka kujua nauli ya kutoka dodoma kwenda songea

      Futa
    4. John peter nataka kujua kutoka kahama kwenda manyoni

      Futa
    5. Nauli za kutok kondoa to mbeya bei yake kias gan please naona jamaa wavurugaji San pande za huku

      Futa
  2. Je nauli ya kahama-mbeya ni gapi?

    JibuFuta
  3. Nauli ya Mwanza to Mtwara?

    JibuFuta
  4. Nauli ya kahama to kigoma

    JibuFuta
  5. Nauli ya kahama to kigoma

    JibuFuta
  6. Nauli ya babati to Lindi

    JibuFuta
  7. Nauli ya Moro hadi mbeya?!!?

    JibuFuta
  8. Nauli ya dar to babati via Dodoma

    JibuFuta
  9. Nauli ya dar to babati kupita Dodoma ni kiasi gani?

    JibuFuta
  10. Nauli ya Dodoma to mbeya kupitia iringa ni kiasi gani?

    JibuFuta
  11. Nauli ya kigoma to dodoma

    JibuFuta
  12. Nauli ya kigoma to dodoma

    JibuFuta
  13. Nauli ya kutoka mwanza mpaka Tanga shs ngapi?

    JibuFuta
  14. Nauli kutoka mwanza HD mbeya

    JibuFuta
  15. musoma to bukoba shingapi

    JibuFuta
  16. Nauli ya songea kwenda arusha shp

    JibuFuta
  17. Nauli.ya moshi to katavi

    JibuFuta
  18. Nauli ya kutoka tanga to singida

    JibuFuta
  19. Nauliza Kuna Basi KAHAMA to songea au songea KAHAMA na nauli je

    JibuFuta
  20. Naul kotoka sumbawanga to mbeya shingap

    JibuFuta
  21. Nauli
    mbeya to shinyanga

    JibuFuta
  22. Naomba kujua nauli kutoka bukoba to mbeya ningapi

    JibuFuta
  23. Nauli kutoka morogoro kwenda Arusha

    JibuFuta
  24. Ingiza maoni yako...Dar to njombe sh.ngapi

    JibuFuta
  25. Naomba naul ya kutoka Arusha to njombe

    JibuFuta
    Majibu
    1. Naomba kujua naul ya mwanza to Arusha

      Futa
  26. He naul ya tabora to mwanza ipoje

    JibuFuta
    Majibu
    1. Simon Gambishi nauli ya tabora to mwanza ipoje?

      Futa
  27. Nauli ya dar hadi kahama kwa sasa ni beigani

    JibuFuta
  28. Nataka kufahamu bei za train

    JibuFuta
  29. Nauli ya mwanza to tanga

    JibuFuta
  30. Nauli ya mwanza to tarime ni shilingi ngapi?

    JibuFuta
  31. Nauli ya mwaza to tarime

    JibuFuta
  32. Kondoa to mbeya bei yake kias gan please naona jamaa wavurugaji San pande za huku

    JibuFuta
  33. Nauliza nauli kutoka Arusha kwenda Tanga ni shingapi

    JibuFuta
  34. Nauli tanga to mwanza shingap

    JibuFuta

Inaendeshwa na Blogger.