Header Ads

Breaking News
recent

MAGONJWA YA NGONO

Muungwana Blog · 59 seconds ago
Kuna  aina mbalimbali  za magonjwa ya ngono ambayo yamegawanywa katika makundi kutokana na dalili zake kama ifuatavyo: 

1. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na usaha au majimaji sehemu za siri (ukeni na uumeni). 

Magnjwa hayo ni kama vile; 
• Kisonono 
• Trikomonas 
• Kandida. 

2. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na vidonda. 

Magonjwa hayo ni kama vile; 
• Kaswende. 
• Pangusa. 
• Malengelenge sehemu za siri. 

3. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na uvimbe. 

Magonjwa hayo ni kama vile 
• Mitoki. 
• Pangusa 
• Malengelenge sehemu za siri.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.