Header Ads

Breaking News
recent

Tazama harusi ya Mtoto w tajiri Africa #Dangote ikudhuriwa na raisi mstaafu jk kikwete na billgate


Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt @jmkikwete ni sehemu ya wageni mashuhuri waliohudhuria harusi ya Jamil Abubakar na Fatima Dangote hapo jana. Harusi hiyo imefanyika katika Hoteli ya Eko jijini Lagos, Nigeria. https://t.co/4PcFEf05u1

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.