Header Ads

Breaking News
recent
Serikali imesaini mkataba wa ununuzi wa vichwa 11 vya Treni kutoka kampuni ya Progress Rail Locomotives (PRL), ya Marekani ambavyo vililetwa katika bandari ya Dar kwa ajili ya kuuzwa.

Vichwa hivyo ni vile vilivyokutwa bandarini Julai 2017, na kudaiwa kuwa havina mwenyewe. https://t.co/phN353BPTQ

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.